• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 27, 2017

  NGOMA HUYU HAPA 'AIRPORT' CHINI YA ULINZI WA 'MAKOMANDOO' WA YANGA

  Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma aliyeripotiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu Polokwane City ya Afrika Kusini akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam usiku huu
  Ngoma ambaye pia anatakiwa na mahasimu, Simba amepokewa na wanachama wa Yanga, Mzee wa Mpunga na Kaisi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NGOMA HUYU HAPA 'AIRPORT' CHINI YA ULINZI WA 'MAKOMANDOO' WA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top