Mshambuliaji wa kimataifa wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Arnold Okwi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo tayari kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya Simba kwa mara ya tatu
Okwi anakuja akitokea SC Villa ya kwao, Uganda aliyojiunga nayo tena mwaka huu akitokea SønderjyskE Fodbold ya Denmark
Okwi akiwa na Makamu wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' baada ya kuwasili JNIA
Okwi akipanda gari iliyokwenda kumpokea JNIA
Okwi anaonyesha mkono, ishara ya kwamba yuko tayari kwa kazi tena Msimbazi
Kaburu akimpa maelekezo dereva baada ya kupanda gari
Okwi ndani ya gari iliyompokea akipiga hesabu maisha mengine Simba
Gari iliyombeba Okwi inaondoka taratibu eneo la JNIA
Field Yates Says Chiefs Picking Xavier Worthy Was Best Trade of 2024 NFL
Draft
-
The Kansas City Chiefs didn't move up the board too much to take Texas wide
receiver Xavier Worthy in the 2024 NFL draft, but it was the most savvy
deal so…
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment