• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 29, 2017

  MALINZI, AVEVA, KABURU NA MWESIGWA WAFIKISHWA MAHAKAMANI

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (wa pili kushoto) akiwa na Katibu wake, Selestine Mwesigwa (kushoto kabisa), Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (katikati) Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam tayari kupandishwa kizimbani kujibu tuhuma mbalimbali zinazowakabili. Kulia kabisa ni Rais wa Simba, Evans Aveva ambaye naye pia anakabiliwa na tuhuma sawa na Kaburu
  Wakubwa wakiwa Mahakama ya Kisutu, ambako wamefikishwa baada ya kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
  Mwesigwa akiongoza kuelekea mahakamani baada ya kuwasili asubuhi ya leo, huku akifuatiwa na Malinzi
  Huyu mwingine inaonekana ni Ofisa wa TAKUKURU aliyekuwa anawaongoza
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MALINZI, AVEVA, KABURU NA MWESIGWA WAFIKISHWA MAHAKAMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top