• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 20, 2017

  CYBORG KUZIPIGA NA ANDERSON KUWANIA TAJI LA UFC

  Cris Cyborg atapanda ulingoni kupigana na Megan Anderson kuwania taji la UFC 214 uzito wa Feather wanawake Julai 29, mwaka huu. Wawili hao watawania taji lililoachwa wazi na Germaine de Randamie aliyevuliwa kwa kukataa kupigana na Cyborg 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CYBORG KUZIPIGA NA ANDERSON KUWANIA TAJI LA UFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top