• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 28, 2017

  LUKAKU AMERULIA KWA RAHA ZAKE ANAWASUBIRI CHELSEA TU

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji, Romelu Lukaku wa Everton ya England, akiwa ametulia ufukweni katika kipindi hiki cha mapumziko ya mwisho mwisho kabla ya kurudi kwenye maandalizi ya msimu mpya, huku taarifa kubwa kuhusu yeye ni kutakiwa na timu yake ya zamani, Chelsea ya England pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LUKAKU AMERULIA KWA RAHA ZAKE ANAWASUBIRI CHELSEA TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top