Alexis Sanchez wa Chile akienda chini kudai penalti katika mchezo wa mwisho wa Kundi B Kombe la Mabara dhidi ya Australia leo Otkrytiye Arena mjini Moscow, Urusi timu hizo zikitoka sare ya 1-1. James Troisi alianza kuifungia Australia dakika ya 42, kabla ya Martin Rodriguez kuisawazishia Chile dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Toone claims Goal of the Season
-
It's another award for Ella, but which strike was the fans' favourite?
42 minutes ago
0 comments:
Post a Comment