Beki wa kimataifa wa Ufaransa, Mamadou Sakho (kulia) anayechezea Crystal Palace kwa mkopo kutoka Liverpool, zote za England akiwa na mkewe, na wanawe katika kituo cha watoto yatima cha SOS Village visiwani Zanzibar jana ambako alipeleka misaada mbalimbali
Sakho alikuwa Zanzibar kwa wiki moja kwa ajili ya utalii na anatarajiwa kuondoka kesho
Kituo cha SOS kipo katika maazimisho ya miaka 26 tangu kuanzishwa kwake
Na Sakho alijumuika na watoto na walezi wa kituo hicho kwa furaha katika mfungo huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan naye pia akiwa anashiriki ibada hiyo
Halbfinalspiele zeitgenau angesetzt
-
Borussia Dortmund tritt am Mittwoch, 1. Mai, zum Halbfinal-Hinspiel der
UEFA Champions League gegen Paris Saint-Germain an. Die Begegnung wird um
21 Uhr im...
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment