Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas akipanda basi la wachezaji wa timu ya taifa baada ya kuachiwa leo kufuatia kukamatwa jana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia kampuni ya udalali na minada ya Yono
TRA waliiagiza Yono kukamata basi hilo kutokana na madeni ya kodi ya TFF

0 comments:
Post a Comment