Eden Hazard akipongezwa na Pedro na Marcos Alonso baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 10 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London. Hazard alifunga bao la pili la Chelsea pia dakika ya 35, wakati la Man City lilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 26 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment