![]() |
| Mshambuliaji mpya wa Simba SC, Abdallah Juma akijifua katika gym ya Kelken , Chang'ombe, Dar es Salaam asubuhi ya leo. |
![]() |
| Kocha wa makipa, James Kisaka naye akijifua |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu'akizungumza na mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Abdallah Juma akiendelea na mazoezi |
![]() |
| Patrick Mbiyavanga kutoka DRC |
![]() |
| Meneja Vifaa vya Michezo wa Simba, Kessy Rajab naye akijifua |
![]() |
| Mbiyavanga akijifua |
![]() |
| Mbiyavanga |
![]() |
| Amri Kiemba akijifua |
![]() |
| Salum Machaku naye alikuwepo |











.png)
0 comments:
Post a Comment