![]() |
| Beki wa Simba, Kelvin Yondan akikabidhiwa jezi ya klabu yake mpya, Yanga na mwanachama wa Yanga, Seif Ahmad 'Magari'. |
![]() |
| Kaka yake Kelvin Yondan akiusoma kwa makini mkataba wa Yanga, kabla ya kumruhusu mdogo wake kusaini |
![]() |
| Yondan anatia dole gumba nguvu zake zote |
![]() |
| Yondan anamwaga wino kwa umakini wa hali ya juu |
![]() |
| Yondan akiangalia fedha huku akinywa maji kupoza koo, kulia ni kaka yake |







.png)
0 comments:
Post a Comment