• HABARI MPYA

  Friday, August 05, 2016

  SAUZI YAWAKATALIA WENYEJI BRAZIL OLIMPIKI 2016, SARE 0-0 NA NEYMAR WAO!

  Feipe Anderson wa Brazil akiuchukua mpira wa juu kwa ustadi wa hali ya juu pembeni ya Mothobi Mvala wa Afrika Kusini katika mchezo wa Kundi A Olimpiki soka wanaume usiku wa jana mjini Brasilia timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Mechi nyingine za Ufunguzi Olimpiki wanaume, Iraq ilitoka 0-0 na Denmark Kundi A pia, Sweden 1-1 na Colombia Kundi B, Mexico 2-2 na Ujerumani Kundi C na Honduras 3-2 dhidi ya Algeria Kundi D PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAUZI YAWAKATALIA WENYEJI BRAZIL OLIMPIKI 2016, SARE 0-0 NA NEYMAR WAO! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top