Feipe Anderson wa Brazil akiuchukua mpira wa juu kwa ustadi wa hali ya juu pembeni ya Mothobi Mvala wa Afrika Kusini katika mchezo wa Kundi A Olimpiki soka wanaume usiku wa jana mjini Brasilia timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Mechi nyingine za Ufunguzi Olimpiki wanaume, Iraq ilitoka 0-0 na Denmark Kundi A pia, Sweden 1-1 na Colombia Kundi B, Mexico 2-2 na Ujerumani Kundi C na Honduras 3-2 dhidi ya Algeria Kundi D PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ex-Spurs player Vega set to run for Fifa president
-
Former Tottenham Hotspur defender Ramon Vega says he intends to stand as a
candidate in next year's Fifa presidential election.
37 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment