• HABARI MPYA

  Monday, June 06, 2016

  ENGLAND YAWAFUMUA 3-2 MAGWIJI WA DUNIA KATIKA SOCCER AID

  Gwiji wa Uholanzi, Edgar Davids akimtoka Paddy McGuinness wa timu ya Magwiji wa England akiiichezea timu ya Magwiji wa Dunia katika mchezo maalum wa Soccer Aid Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester jana. England ilishinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Mark Wright na Jermain Defoe mawili, wakati ya magwiji wa dunia yalifungwa na Dimitar Berbatov katika mchezo ambao Mtangazaji wa Televisheni,  Ben Shepherd alitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ENGLAND YAWAFUMUA 3-2 MAGWIJI WA DUNIA KATIKA SOCCER AID Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top