• HABARI MPYA

    Sunday, June 05, 2016

    CROATIA YAITANDIKA 10-0 SAN MARINO, HAIJAWAHI KUTOKEA

    Wachezaji wa Croatia wakishangilia baada ya kupata bao la katika ushindi wa rekodi wa 10-0 jana dhidi ya San Marino mjini katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Mario Mandzukic na Nikola Kalinic kila mmoja alifunga mabao matatu, mabao mengine yakifungwa na Srna, Ivan Perisic, Ivan Rakitic na Marko Pjaca   PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CROATIA YAITANDIKA 10-0 SAN MARINO, HAIJAWAHI KUTOKEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top