• HABARI MPYA

    Friday, June 17, 2016

    CHIRWA ALIVYOSAINI MIAKA MIWILI KUTUMIKIA JESHI LA JANGWANI LEO

    Kiungoi mshambuliaji wa FC Platinums ya Zimbabawe, Obrey Chirwa (kulia) akisaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC jioni ya leo mjini Dar es Salaam, muda mfupi tu baada ya kuwasili nchini
    Mchezaji huyo wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 23 ya Zambia jina lake linatarajiwa kuongezwa katika orodha ya wachezaji wa Yanga watakaocheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho
    Chirwa alisaini akisimamiwa na Wakili wa Yanga leo mjini Dar es Salaam 


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHIRWA ALIVYOSAINI MIAKA MIWILI KUTUMIKIA JESHI LA JANGWANI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top