Marcus Rashford akimtungua kipa wa LA Galaxy, Jon Kempin kufunga moja ya mabao yake mawili ya dakika za pili na 20 katika ushindi wa 5-2 asubuhi hii Uwanja wa Stubhub Center, mjini Carson, California, Marekani katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya. Mabao mengine ya United yamefungwa na Marouane Fellaini dakika ya 26, Henrikh Mkhitaryan dakika ya 67 na Anthony Martial dakika ya 72, wakati ya wenyeji yamefungwa na Giovani dos Santos dakika ya 79 na David Romney dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mystik Dan wins the 150th Kentucky Derby at the wire, edging out Sierra
Leone in second and Forever Young in a stunning three-way photo finish
-
One of the tightest finishes in Kentucky Derby history punctuated the
race's 150th running as Mystik Dan just barely had his nose ahead to win
the first le...
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment