Kiungo
Ramadhan Suleiman Chombo ‘Redondo’ leo amesajiliwa Simba SC, akitokea Azam FC
katika mkataba ambao bado haujaeleweka, lakini habari za uhakika kutoka kwa Wekundu
hao wa Msimbazi zimeithibitishia BIN ZUBEIRY hivyo. Kiungo huyo aliyejiunga
na Azam mwaka 2009, akitokea Simba anakuwa mchezaji wa pili ndani ya kipindi kisichozidi
siku tano kutua Msimbazi, akitokea Azam, baada ya Jumatano iliyopita, Mrisho
Ngassa pia kusajiliwa na timu hiyo akitokea Chamazil. BIN ZUBEIRY bado inafuatilia
kwa kina kujua aina ya mkataba ambao Redoindo wa Keko Magurumbasi amesaini na Simba.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment