Ofisa Masoko wa Banc ABC, Evelyn Auguste (kulia), akimskiliza Msaidizi wake, Olympia Fraten alipokuwa akizungumzia michuano ya Banc ABC Super 8 inayotarajiwa kuanza kesho, katika viwanja vya Taifa, Dar es Salaam, Sheikh Amri Abeid wa Arusha, CCM Kirumba wa Mwanza na Amaan wa Zanzibar, katika pati ya utambulisho wa michuano hiyo, iliyofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa City Sports Lounge, katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment