• HABARI MPYA

    Sunday, June 19, 2016

    RONALDO AKOSA PENALTI URENO YALAZIMISHWA SARE 0-0 EURO 2016

    Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo akiwa ameziba sura yake kwa aibu baada ya kukosa penalti katika mchezo wa Kundi F Euro 2016 dhidi ya Austria Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa timu hizo zikitoka sare ya 0-0  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AKOSA PENALTI URENO YALAZIMISHWA SARE 0-0 EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top