• HABARI MPYA

  Monday, June 13, 2016

  PIQUE AWAPA MWANZO MZURI HISPANIA WATETEZI WA TAJI EURO 2016

  Beki wa Barcelona, Gerard Pique akikimbia kushangilia huku akifuata na mchezaji mwenzake, Sergio Ramos wa Real Madrid baada ya kuifungia Hispania bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech leo kwenye mchezo wa Kundi D Euro 2016 Uwanja Manispaaa mjini Toulouse, Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PIQUE AWAPA MWANZO MZURI HISPANIA WATETEZI WA TAJI EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top