Willian (katikati) akishangilia baada ya kufunga mabao matatu katika ushindi wa Chelsea wa 8-2 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu Uwanja wa Cobham usiku wa leo. Mabao mengine ya mabingwa hao wa England yamefungwa na Michy Batshuayi mawili sawa na Remy, huku Azpilicueta akifunga moja na kujifunga moja, huku bao bao lingine la Fulham akifunga Johansen PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Washington Commanders sign 'male model' to backup No. 2 pick Jayden Daniels
at quarterback
-
The Washington Commanders have signed 'male model' quarterback Sam Hartman
as an undrafted free agent, according to multiple reports.
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment