Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania, Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu jana Uwanja wa mazoezi wa The Ajax Future timu hizo zikitoka sare ya 3-3.
Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax timu hizo zikitoka sare ya 3-3 jana
Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax jana Uwanja wa mazoezi wa The Ajax Future
Mbwana Samatta alifunga bao moja jana katika sare hiyo
Mbwana Samatta akimtoka mchezaji wa Ajax Uwanja wa The Ajax Future jana
Mbwana Samatta akimtoka mchezaji wa Ajax Uwanja wa The Ajax Future jana
0 comments:
Post a Comment