Alexandre Lacazette akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia timu yake mpya, Arsenal bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Sydney FC kwenye mchezo wa kirafiki mchana wa leo Uwanja wa ANZ mjini Sydney, Australia. Bao la kwanza lilifungwa na Per Mertesacker dakika ya nne tu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sports ask government to address water pollution
-
Water-based sports across the UK are uniting to call on the government to
take urgent action to address pollution in rivers, lakes and coastal waters.
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment