• HABARI MPYA

    Friday, July 14, 2017

    AZAM FC 'WALIVYOKAMUA' MAZOEZINI LEO ASUBUHI

    Mshambuliaji mpya aliyesajiliwa Azam FC kutokq Toto Africans ya Mwanza, Waziri junior (kulia) akijaribu kuwapita wachezaji wenzake wapy mazoezini leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam 
    Beki Ismail Gambo 'Kussi' (kushoto) akimdhibiti kiungo Mghana, Enock Atta Agyei leo mazoezini
    Kiungo Frank Raymond Domayo akiinua chuma kizito mazoezini leo Chamazi
    Kocha wa makipa, Iddi Aboubakar (kushoto) akiwapa mafundisho vijana wake leo 
    Winga Joseph Kimwaga akiburuza uzito katika zoezi maalum la kumjengea stamina 
    Kocha Mromani wa Azam FC, Aristica Cioaba akifuatilia mazoezi ya vijana wake
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC 'WALIVYOKAMUA' MAZOEZINI LEO ASUBUHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top