Kiungo wa kimataifa wa Misri, Mohamed Elneny akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 44 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Western Sydney Wanderers Uwanja wa ANZ mjini Sydney. Mabao mengine ya Washika Bunduki hao wa London, yamefungwa na Olivier Giroud dakika ya 33 na Aaron Ramsey dakika ya 37, wakati la wenyeji limefungwa na Steven Lustica dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
West Ham legend Tony Cottee SLAMS the club's 'classless' owners over their
treatment of David Moyes... amid uncertainty around the Scotsman's future
with Hammers
-
The experienced Scot's future remains unclear and he will hold talks with
owner David Sullivan at the end of season during which a possible exit will
be de...
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment