ATHUMANI CHINA ALIKUWA ANACHOMWA SINDANO ZA GANZI ACHEZE AKIWA MAJERUHI YANGA
Kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah Mchabwa, maarufu kama Athumani China akichomwa sindano ya ganzi ili kupooza maumivu aweze kuendelea na mchezo katika moja ya mechi za timu hiyo mwaka 1989. Kulia ni Meneja wa klabu hiyo, Charles Mgombelo.
0 comments:
Post a Comment