Mabondia wa kitambo Bongo, Rashid Matumla na Maneno Oswarld, leo walikuwa katika Hoteli ya The Atriums kwa ajili ya kupima uzito kujiandaa kwa pambano kali litakalochezwa leo katika Ukumbi wa Dar Live jijini, Dar.
Akizungumza katika mkutano huo na waandishi wa habari, promota wa pambano hilo, Kaike Silaji, kila bondia yupo katika afya nzuri na wapo tayari kwa ajili ya pambano hilo siku ya Idd Mosi.
“Niwahakikishie wapenzi wa mchezo wa ngumi kufika kwa wingi siku hiyo kwani mabondia wetu wamejipanga vilivyo kuhakikisha kila mmoja anajiwekea heshima ya kuwa mshindi. “Kutakuwepo na mapambano ya utangulizi ya vijana matata katika mchezo wa Boxa kabla ya Maneno na Matumla hawajapanda ulingoni,” alisema Kaike.
STORI/PICHA: ERICK EVARIST & GEORGE KAYALA/ GPL

.png)
0 comments:
Post a Comment