Kikosi cha Twiga Stars; Leo kinacheza mchezo wa kujipima nguvu na Afrika Kusini, Banyana Banyana, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kocha wa timu hiyo, Charles Boniface Mkwasa, ameomba Watanzania wote waishio Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kuishangilia timu hiyo katika mchezo huo na watafurahia matokeo mazuri. Mkwasa amesema safari hii timu iko vizuri na matokeo kama ya Zimbabwe hayatajirudia leo. Mungu ibariki Tanzania, ibariki Twiga Stars.
0 comments:
Post a Comment