• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 27, 2012

  SHEREHE ZA SIMBA ZILIVYOFANA DAR LIVE LEO, BADO ZINAENDELEA

  Mhariri kiongozi wa gazeti la Championi, Saleh Ally (mwenye miwani) akichana tiketi mlangoni

  Meneja wa Global Publisher, Abdallah Mrisho

  Mashabiki

  Mzee Gurumo mwenye fulana nyekundu, Romna Mng'ande kulia na Katundu na Asha Kigundula kushoto kabisa

  Saleh Ally na Hassan Daalal

  Biashara zinaendelea

  Nyomi

  Uhuru Suleiman na mwanawe, Samir kulia, kushoto kocha wa makipa, James Kisaka

  Mashabiki

  Isha Mashauzu kabla ya kupanda jukwaani

  Juma Mbizo na Asha Kigundula

  Paparazzi wakiendelea na kazi

  Makamu Mwenyekiti wa Simba, Kaburu kulia na mgeni rasmi, Mh Amos Makalla

  Akiimba shairi la Simba

  Wakali Dancers wakifanya vitu

  Shabiki wa Simba Magoma Moto akitoa burudani ya bure

  Dua kwa ajili ya Mafisango

  Machaku akiitoa Medali yake kwa ajili ya Mafisango

  Mh Makalla akimkabidhi Kaseja tuzo mbalimbali

  Kaseja akimlilia Mafisango

  Kaseja akibembelezwa wakati analia kwa ajili ya Mafisango


  Shampeni

  Juma Nyosso kushoto, Kaseja katikati, Machaku kulia na Kombe lao

  Meneja wa Global Publisher, Abdallah Mrisho akimkabidhi Nahodha wa Simba, Juma Kaseja Sh. Milioni 3

  Wachezaji wakipata chakula

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHEREHE ZA SIMBA ZILIVYOFANA DAR LIVE LEO, BADO ZINAENDELEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top