• HABARI MPYA

  Monday, May 28, 2012

  MAANDAMANO YA SHEREHE ZA UBINGWA SIMBA YALIVYOKUWA


  Baadhi ya wachezaji wa Simba SC wakishangilia pamoja na kombe lao wakati wakipita katika mitaa ya jiji la Dar es Salaam leo.
  Mashabiki na wapenzi wa Simba SC wakiwa katika maandamano kuelekea katika Ukumbi wa Dar Live kusherehekea ubingwa wa timu yao leo.
  Pikipiki zikiongoza msafara huo kuelekea Dar Live.
  Maandamano yakipita katika mitaa leo.
  Mashabiki wa Simba wakimuenzi kiungo wa timu hiyo, Marehemu Patrick Mafisango aliyefariki katika ajali ya gari hivi karibuni.
  Mashabiki wakishangilia wakati wa maandamano hayo.
  Wachezaji na mashabiki wa Simba wakipozi na kombe lao.
  Mashabiki wa Simba wakiingia ndani ya Ukumbi wa Dar Live tayari kwa sherehe za ubingwa.
  (Picha na Issa Mnally /GPL)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAANDAMANO YA SHEREHE ZA UBINGWA SIMBA YALIVYOKUWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top