Euro 2012: Viwanja na maelekezo Fainali za Mataifa ya Ulaya...

FAINALI za Kombe la Mataifa UlayaThe 2012 zitachezwa katika viwanja nane, vinne nchini Poland na vinne Ukraine.
Viwanja vitano vipya vimetengenezwa maalum kwa ajili ya michuano hiyo - na vingine vitatu vimefanyiwa ukarabati wa uhakika.
Fainali hizo zinaanza Juni 8 kwa wenyeji washiriki Poland kufungua dimba na Ugiriki katika Uwanja wa Taifa wa Warsaw, na kufikia tamati Julai 1katika Uwanja wa Olimpiki mjini Kiev, Ukraine.
Hapa BIN ZUBEIRY kwa msaada wa BBC Sport  inakuletea viwanja ambavyo vitatumika kwa fainali hizo na wasifu wake.

Warsaw

National Stadium, Warsaw
KUJENGWA: 2011, WANAOUTUMIA: Timu ya taifa Polande accessible player and disable flyout menus
BBC News looks inside Warsaw's new national stadium
MECHI ZITAKAZOCHEZWA HAPA: Mechi tatu za Kundi A, ya ufunguzi kati ya Poland Ugiriki Juni 8, Poland na Urusi Juni 12, na Ugiriki na Urusi Juni 16.
UMBALI: Kutoka Kiev: Kilomita 820.

Wroclaw

Municipal Stadium (Stadion Miejski), Wroclaw
KUJENGWA: 2011
WANAOUTUMIA: Slask Wroclaw
MECHI ZITAKAZOCHEZWA HAPA: Kundi A
UMBALI: Kutoka Warsaw: kilomita 350 na kutoka Kiev kilomita 1,090.

Gdansk

PGE Arena, Gdansk
KUJENGWA: 2011
WANAOUTUMIA: Lechia Gdansk
MECHI ZITAKAZOCHEZWA HAPA: Kundi C.
DUMBALI: Kutoka  Warsaw: Kilomota 345 na kutoka Kiev kilomita 1,190.

Poznan

City Stadium (Stadion Miejski), Poznan
KUJENGWA: 1980 (Kukarabatiwa 2010)
WANAOUTUMIA: Lech Poznan na Warta Poznan
MECHI ZITAKAZOCHEZWA HAPA: Kundi C
UMBALI: Kutoka  Warsaw: Kilomita 320 na kutoka Kiev kilomita 1,140.

Kiev

Olympic Stadium (Olimpiysky Stadium), Kiev
KUJENGWA: 1923 (Kukarabatiwa 2011)
WANAOUTUMIA: Timu ya taifa ya Ukraibe.
MECHI ZITAKAZOCHEZWA HAPA:  Kundi D
UMBALI: Kutoka Warsaw: kilomita 820.

Donetsk

Donbass Arena, Donetsk
KUJENGWA: 2009
WANAOUTUMIA: Shakhtar Donetsk
MECHI ZITAKAZOCHEZWA HAPA: Kundi D
UMBALI kutoka  Kiev: Kilomita 700 na kutoka Warsaw kilomita 1,465.

Kharkiv

Metalist Stadium (Oblast Sports Complex Metalist), Kharkov
KUJENGWA: 1926 (Kukarabatiwa 2009)
WANAOUTUMIA: FC Metalist Kharkiv
MECHI ZITAKAZOCHEZWA HAPA: Kundi B.
UMBALI: Kutoka Kiev kilomita 480 na kutoka Warsaw kilomita 1,250.

Lviv

Arena Lviv, Lviv
KUJENGWA: 2011
WANAOUTUMIA: FC Karpaty Lviv
MECHI ZITAKAZOCHEZWA HAPA: Kundi B
UMBALI: Kutoka Kiev kilomita 540 na kutoka Warsaw kilomita 385.