• HABARI MPYA

  Jumatatu, Mei 28, 2012

  SERENGETI YAZIDI KUWANUFAISHA WATANZANIA

  Ni meneja wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya ziwa  bw Patrick kisaka akikabidhi za bajaj kwa mshindi wa bajaj katika promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO na SBL, Bw Godfrey Shao mkazi wa mkoa wa mwanza ambaye alijishindia pikipiki ya matairi matatu( BAJAJ) kupitia bia ya Tusker Lager

  Mshindi wa Bajaj bw Godfery Shao ndani ya bajaj akipongezwa na wafanyakazi, wawakilishi, wapenzi na wadau wa kampuni ya bia ya Serengeti baada ya kukabidhiwa bajaj mpya kabisa

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERENGETI YAZIDI KUWANUFAISHA WATANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top