• HABARI MPYA

  Jumamosi, Mei 26, 2012

  SERENGETI BREWERIES YAENDELEA KUNUFAISHA WATANZANIA

  Mwakilishi wa Kampuni ya Serengeti Breweries Iringa, Philip Ghucha (kulia) akikabidhi jenereta kwa mshindi wa promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO, Raymond Denis wa Iringa aliyejishindia jenereta hiyo kupitia bia ya Tusker Lager. Promosheni hiyo  inayoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti nchi nzima kwa wiki 16 kupitia bia ya Premium Serengeti Lager, Tusker Lager na Pilsner Lager ambapo zaidi ya Sh. Milioni 180 zinashindaniwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERENGETI BREWERIES YAENDELEA KUNUFAISHA WATANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top