• HABARI MPYA

    Monday, May 21, 2012

    ROBIN GIBB WA BEE GEES AFARIKI DUNIA





    Robin Gibb has died aged 62
    Robin Gibb amefariki akiwa ana miaka 62
    MWIMBAJI wa kundi la Bee Gees, Robin Gibb, amefariki dunia jana akiwa ana umri wa miaka 62. 
    Mwimbaji huyo ambaye ameuza nakala zaidi ya Milioni 200 na kutoa nyimbo kibao zilizotikisa akiwa na ndugu zake Maurice na Barry, alifanyiwa upasuaji na akakutwa na maradhi ya saratani. 
    Familia ya Robin Gibb wa kundi lililokuwa likiundwa na ndugu, Bee Gees imetangaza kwa machungu makubwa kifo cha Robin leo. 
    Robin Hugh Gibb alizaliwa Desemba 22, mwaka 1949 kabla ya kifo chake jana Mei 20, 2012 na alikuwa mweanamuziki maarufu Uingereza na mtunzi pia. Umaarufu wake ulitokana na kundi la Bee Gees, alilokuwa akipiga kazi na ndugu zake, pacha wake Maurice na kaka yake Barry. Mdogo wake mwingine, Andy Gibb, pia ni mwanamuziki maarufu wa kujitegemea.
    Mara ya mwisho, Gibb alionekana jukwaani akitumbuiza Februari mwaka huu katika shoo ua hisanihuko London Palladium.
    Hitmakers: Robin was part of one of the biggest groups of all time the Bee Gees with his brother Maurice, who passed away in 2003 and Barry who is now the only surviving member of the band
    Robin na kundi lake Bee Gees na kaka zake Maurice, aliyefariki dunia mwaka 2003 na Barry ambaye sasa  ni pekee aliyebaki.
    Bee Gee Robin Gibb is seen arriving at a medical centre which specialises in cancer care on London's exclusive Harley Street
    Gone but not forgotten: Robin leaves behind his wife Dwina
    Comeback: Robin Gibb on stage with brothers Maurice (left) and Barry (right) at a Bee Gees concert in Sydney in 1999
    Robin Gibb jukwani na ndugu zake Maurice (kushoto) na Barry (kulia) katika tamasha la Bee Gees mjini Sydney mwaka 1999
    Honoured: In 2004 Robin was presented with a CBE with his brother Barry
    Mwaka 2004 Robin na kaka yake, Barry
    Back in the day: Robin as a young musician in 1970
    1970
    Robin Gibb in 1969
    Robin Gibb of the Bee Gees at a party, March 23, 1978
    Robin Gibb 1978 
    Robin Gibb in 1981
    Robin 1991
    Robin Gibb 1991
    Robin 1981
    1983: Robin Gibb with Dwina and their son Robin-John, known as RJ, with whom he went on to write the Titanic Requiem
    1983: Robin Gibb na mkewe Dwina na mtoto wao wa kiume, Robin-John, anayefahamika kama RJ



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROBIN GIBB WA BEE GEES AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top