• HABARI MPYA

  Alhamisi, Mei 31, 2012

  INGEKUWA VIPI NYOSSO, JABU, MWAIKIMBA NA REDONDO BILA ASHANTI, JE WANGETOKA?

  Hapa ndio makao makuu ya klabu ya Ashanti inayopigania kurejea Ligi Kuu. Hii ni klabu ambayo imeibua wachezaji wengi wanaotamba katika Ligi Kuu hivi sasa kama Juma Nyosso, Ramadhan Chombo 'Redondo', Gaudence Mwaikimba, Juma Jabu, Ally Mustafa 'Barthez' na wengineo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: INGEKUWA VIPI NYOSSO, JABU, MWAIKIMBA NA REDONDO BILA ASHANTI, JE WANGETOKA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top