• HABARI MPYA

  Alhamisi, Mei 31, 2012

  VIFAA VINAVYOMULIKWA EURO 2012, VYAWEZA KUHAMA BAADA YA MASHINDANO

  PSG iko tayari kumng'oa Rooney Man United kwa Euro Milioni 150
  Man City iko tayari kumng'aoa Van Persie Arsenal kwa dau la pauni milioni 50

  JORDI ALBA | Valencia & Hispania, Beki, Miaka 23

  Read more on Alba
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi50
  Mabao3
  Pasi za mabao7
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yakePauni Milioni 8
  Klabu zinazomtakaBarcelona
  Uwezekano wa kuondokaAsilimia 70
  ANDREY ARSHAVIN | Arsenal & Urusi, Mshambuliaji, Miaka 31

  Read more on Arshavin
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi37
  Mabao5
  Pasi za mabao3
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yakePauni Milioni 9
  KLABU ZINAZOMTAKAZenit St Petersburg
  Uwezekano kuondokaAsilimia 75
  THEO GEBRE SELASSIE | Slovan Liberec & Jamhuri ya Czech, Beki, Miaka 25

  Read more on Gebre Selassie
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi30
  Mabao5
  Pasi za mabao6
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yakePauni Milioni 1.2
  KLABU ZINAZOMTAKA-
  Uwezekano kuondokaAsilimia 75
  SEBASTIAN GIOVINCO | Parma & Italia, Mshambuliaji, Miaka 25

  Read more on Giovinco
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi37
  Mabao17
  Pasi za mabao13
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yakePauni Milioni 10
  KLABU ZINAZOMTAKAJuventus, Inter
  Uwezekano kuondokaAsilimia 70
  BENEDIKT HOWEDES | Schalke & Ujerumani, Beki, Miaka 24

  Read more on Howedes
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi32
  Mabao1
  Pasi za mabao2
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yakePauni Milioni 12
  KLABU ZINAZOMTAKABayern Munich
  Uwezekano kuondokaAsilimia 35
  ROBERT LEWANDOWSKI | Dortmund & Poland, Mshambuliaji, Miaka 23

  Read more on Lewandowski
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi46
  Mabao30
  Pasi za mabao11
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yakePauni Milioni 12
  KLABU ZINAZOMTAKAMan Utd
  Uwezekano kuondokaAsilimia 5
  JAVI MARTINEZ | Athletic Bilbao & Hispania, kiungo, Miaka 23

  Read more on Martinez
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi55
  Mabao4
  Pasi za mabao1
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yake(Pauni Milioni 32)
  KLABU ZINAZOMTAKAReal Madrid, Bayern, Man City, Man Utd
  Uwezekano kuondokaAsilimia 40
  YANN M'VILA | Rennes & Ufaransa, kiungo, Miaka 21

  Read more on M'Vila
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi45
  Mabao1
  Pasi za mabao2
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yakePauni Milioni 16
  KLABU ZINAZOMTAKAArsenal
  Uwezekano kuondokaAsilimia 95
  ROLANDO | Porto & Ureno, beki, miaka 26

  Read more on Rolando
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi33
  Mabao1
  Pasi za mabao0
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yake(Pauni Milioni 24)
  KLABU ZINAZOMTAKARoma
  Uwezekano kuondokaAsilimia 35
  KEVIN STROOTMAN | PSV & Uholanzi, kiungo, miaka 22

  Read more on Strootman
  SEASON STATS
  Appearances45
  Goals6
  Assists11
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yakePauni Milioni 6.5
  KLABU ZINAZOMTAKAMilan, Man Utd, Inter
  Uwezekano kuondokaAsilimia 40
  OLA TOIVONEN | PSV & Sweden, kiungo, miaka 25

  Read more on Toivonen
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi47
  Mabao25
  Pasi za mabao2
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yakePauni Milioni 6.5
  KLABU ZINAZOMTAKA-
  Uwezekano kuondokaAsilimia 70
  GREGORY VAN DER WIEL | Ajax & Uholanzi, beki, miaka 24

  Read more on Van der Wiel
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi25
  Mabao3
  Pasi za mabao4
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yakePauni Milioni 8
  KLABU ZINAZOMTAKAValencia, Real Madrid
  Uwezekano kuondokaAsilimia 70
  ANDRIY VORONIN | Dinamo Moscow & Ukraine, mshambuliaji, miaka 32

  Read more on Voronin
  TAKWIMU ZA MSIMU
  Mechi34
  Mabao11
  Pasi za mabao0
  HABARI ZA UHAMISHO
  Thamani yakePauni Milioni 4
  KLABU ZINAZOMTAKA-
  Uwezekano kuondokaAsilimia 75

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VIFAA VINAVYOMULIKWA EURO 2012, VYAWEZA KUHAMA BAADA YA MASHINDANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top