• HABARI MPYA

    Wednesday, July 12, 2017

    WAKONGO WA DAR WALIVYOMLAKI YANNICK BOLASIE ALIPOWASILI NA EVERTON

    Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakiwa kwenye basi dogo maalum walilokodi kwenda kumlaki mchezaji kutoka nchi kwao, Yannick Bolasie anayechezea Everton ya England, wakati timu hiyo ikiwasili Dar es Salaam kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya kesho PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAKONGO WA DAR WALIVYOMLAKI YANNICK BOLASIE ALIPOWASILI NA EVERTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top