James Milner na Marko Grujic wakipongezana baada ya wote kufunga katika mchezo wa kirafiki Liverpool ikiwachapa 4-0 wenyeji, Tranmere Rovers usiku wa jana Uwanja wa Prenton Park, Birkenhead, Merseyside. Mabao mengine yalifungwa na Pedro Chirivella na Ben Woodburn PICHA ZAIDI GONGA HAPA
What is a vibration plate? This nifty exercise gadget can help with weight
loss and improve strength — and it's 58% off on Amazon
-
More than 3,000 Amazon shoppers just bought this "game-changer" exercise
machine.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment