• HABARI MPYA

    Monday, July 10, 2017

    ROONEY AANZA KUJIFUA NA EVERTON KWA SAFARI YA DAR

    Mshambuliaji Wayne Rooney akifanya mazoezi na Everton kwa mara ya kwanza baada ya kurejea timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili kutoka Manchester United. Everton inatarajiwa kuwasili Tanzania wiki hii kucheza na Gor Mahia ya Kenya mechi ya kirafiki Alhamisi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY AANZA KUJIFUA NA EVERTON KWA SAFARI YA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top