• HABARI MPYA

    Thursday, July 13, 2017

    LIVERPOOL WAIBOMOA 4-0 TRANMERE ROVERS KIRAFIKI MERSEYSIDE

    James Milner na Marko Grujic wakipongezana baada ya wote kufunga katika mchezo wa kirafiki Liverpool ikiwachapa 4-0 wenyeji, Tranmere Rovers usiku wa jana Uwanja wa Prenton Park, Birkenhead, Merseyside. Mabao mengine yalifungwa na Pedro Chirivella na Ben Woodburn PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL WAIBOMOA 4-0 TRANMERE ROVERS KIRAFIKI MERSEYSIDE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top