• HABARI MPYA

    Friday, July 14, 2017

    SUDAN YAFUNGULIWA FIFA BAADA YA SERIKALI KUMRUDISHA RAIS

    KIUNGO mshambuliaji wa Senegal, Ousseynou Ndiaye amesaini mkataba wa mitatu kujiunga na timu ya Ligue 1 Ufaransa, Olympique Lyonnais.
    Mchezaji huyo kijana wa umri wa miaka 18 alisaini mkataba huo jana kutoka Diambars FC de Saly, ambayo ni akademi ya soka nchini Senegal.
    Ndiaye amevutiwa mno na kusajiliwa na klabu hiyo ya Ligi daraja la juu zaiid Ufaransa na ana matumaini ya kuwa mfano.
    Pamoja na hayo, amekiri bado ana safari ndefu ya kwenda."Nina furaha sana kusaini OL. Ni klabu kubwa. Ni ndoto kuwa hapa. Nataka kuwa mfano kwa watu niliowaacha nyuma Senegal. Si rahisi kupata kupata mkataba wa mwanasoka wa kulipwa. Bado kuna hatua nyingi mbele yangu," alisema Ndiaye.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUDAN YAFUNGULIWA FIFA BAADA YA SERIKALI KUMRUDISHA RAIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top