• HABARI MPYA

    Tuesday, July 11, 2017

    REAL MADRID YASAJILI BEKI LA ATLETICO MADRID

    Beki Theo Hernandez akiwa amepozi na jezi za Real Madrid Uwanja wa Santiago Bernabeu baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na timu hiyo kutoka Atletico Madrid. Mfaransa huyo hakuwahi kucheza kikosi cha kwanza timu ya Diego Simeone, lakini msimu uliopita alifanya vizuri akiwa anacheza kwa mkopo Alaves PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YASAJILI BEKI LA ATLETICO MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top