• HABARI MPYA

  Friday, July 14, 2017

  DEFOE 'ALIVYOMWAGA MACHOZI' MAZISHI YA BRADLEY LOWERY

  Nyota wa England na mshambuliaji wa zamani wa Sunderland, Jermain Defoe akifuta machozi wakati wa kuuaga mwili wa kipenzi chake, shabiki mdogo wa Sunderland, Bradley Lowery kanisa la Mtakatifu Joseph leo kabla ya mazishi yake, kufuatia kusumbuliwa kwa muda mrefu na maradhi ya saratani yaliyochukua maisha yake katika umri wa miaka sita tu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DEFOE 'ALIVYOMWAGA MACHOZI' MAZISHI YA BRADLEY LOWERY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top