Nahodha wa Tanzania, Himid Mao akimtoka mchezaji wa Lesotho, Tumelo Khutlang (kulia) katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu Kombe la COSAFA Castle jana Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini. Tanzania ilishinda kwa penalti 4-2 baada ya sare ta 0-0 ndani ya dakika 90
Beki wa Tanzania, Salim Mbonde (kulia) akimdhibiti mchezaji wa Lesotho, Sera Motebang
Tumelo Khutlang wa Lesotho akimtoka Salmin Hozza wa Tanzania jana
Napo Matsoso wa Lesotho akitafuta maarifa ya kupasua katikati ya wachezaji wa Tanzania
Tsoanelo Koetle wa Lesotho akimtoka Muzamil Yassin wa Tanzania
Tsoanelo Koetle katikati ya Salmin Hoza na Salim Mbonde
Eagles Rumors: WR John Ross to Attend Rookie Camp as Tryout; No. 9 Draft
Pick in 2017
-
John Ross, the No. 9 pick in the 2017 NFL draft, will attend the
Philadelphia Eagles rookie camp as a tryout, per NFL Network's Mike
Garafolo. Ross, a former…
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment