• HABARI MPYA

    Wednesday, July 12, 2017

    ROONEY NA EVERTON 'WALIVYOKAMUA' TAIFA LEO

    Mshambuliaji mpya wa Everton, Wayne Rooney (katikati) akiwa mazoezini na wenzake leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya kesho 
    Rooney alikuwa kivutio kwenye mazoezi ya Everton leo Uwanja wa Taifa 
    Wayne Rooney amerejea Everton mwishoni mwa wiki baada ya kuondoka miaka 13 iliyopita kuhamia Manchester United mwaka 2004
    Popote alipopita leo Wayne Rooney leo kuanzia wakati anawasili Uwanja wa Ndege alikuwa kivutio
    Hapa Rooney anawaongoza wachezaji wa Everton kuingia Uwanja wa Taifa 
    Wachezaji wa Everton wakifanya mazoezi leo Uwanja wa Taifa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY NA EVERTON 'WALIVYOKAMUA' TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top