Lionel Messi na Antonella Roccuzzo wakiwa wamepozi kwa ajili ya picha kwenye kapeti jekundu jana baada ya kufunga ndoa ya kifahari katika jengo la Rosario City Center mjini Rosario, Argentina. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Arngentina anayechezea klabu ya Barcelona ya Hispania amemuoa mpenzi wake wa tangu utotoni, ambaye tayari amezaa naye watoto wawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
13 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment