Bondia Ibrahim ‘King Class’ Mgender akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) huku ameinua mkanda wake wa GBC baada ya kuwasili nchini akitokea Ujerumani, ambako Jumamosi alimshinda kwa pointi Jose Forero na kutwaa taji hilo uzito wa Light
Ibrahim ‘King Class’ Mgender akiwa na ndugu, jamaa na marafiki waliojitokeza kumpokea leo baada yaa kazi nzuri usiku wa juzi




.png)
0 comments:
Post a Comment