Beki Mbrazil, Dani Alves akiwa ameshika jezi namba 32 ya PSG ya Ufaransa mjini Paris leo wakati wa kukabidhiwa kufuatia kukamilisha uhamisho wake kama mchezaji huru kutoka Juventus ya Italia kwa mshahara wa Pauni £230,000 kwa wiki, sawa na Pauni Milioni 12 kwa mwaka. Awali, Alaves alitarajiwa kuungana na kocha wake wa zamani wa Barcelona ya Hispania, Pep Guardiola klabu ya Manchester City ya England, lakini dau zuri limembadili njia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Heat pull off sensational record Big Bash chase
-
Centuries from Matt Renshaw and Jack Wildermuth help Brisbane Heat chase a
record 258 to beat Perth Scorchers in the Big Bash League.
48 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment