Wachezaji wa Lyon wakishangilia na taji lao la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa wanawake baada ya kuwafunga Paris Saint-Germain kwa penalti 7-6 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 120 kwenye fainali usiku wa jana Uwanja wa Cardiff City nchini Wales na kufanikiwa kutetea Kombe lao waliolitwaa pia mwaka jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment